Bodi ya Ligi Tanzania TPLB imesema katika mkutano wao na Yanga, klabu hiyo imekuja na mambo manne ambayo inataka yafanyiwe kazi kabla ya mchezo namba 184 uliopangwa kupigwa Jumapili Juni 15
Akitangaza hayo baada ya kikao kilichofanyika mapema leo, Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi Almas Kasongo amesema bodi yao imeyapokea na kwenda kuyafanyia kazi huku akisisitiza kwamba mchezo huo wa Juni 15,..... download Xtra 90 App



