Liverpool wako tayari kumsajili mshambuliaji wa Ufaransa wa Paris St-Germain mwenye umri wa miaka 22, Bradley Barcola - hata baada ya kukamilisha dili la mshambuliaji wa Ujerumani wa Bayer Leverkusen, Florian Wirtz, 22. (Sun)
Aston Villa, Newcastle na Tottenham wanafuatilia maendeleo ya Jadon Sancho, 25, baada ya winga huyo wa Uingereza kurudi Manchester United kufuatia kumaliza kipindi..... download Xtra 90 App



