Local,Normal News,Yanga, Simba

TPLB yasubiriwa kumaliza utata wa dabi

Joel JJ By Joel JJ
β€’
13 Jun 2025
TPLB yasubiriwa kumaliza utata wa dabi

Bodi ya ligi (TPLB) wakati wowote inatarajiwa kutoa taarifa muhimu kuhusu mchezo wa ligi kuu namba 184 kati ya Yanga dhidi ya Simba ambao umepangwa kupigwa Jumapili, Juni 15 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Msemaji wa Bodi ya ligi Karim Boimanda amesema maandalizi ya msingi kuelekea mchezo huo yanaendelea vizuriΒ 

"Maandalizi yako vizuri lakini pia ni vizuri nikitoa taarifa kwamba kuna baadhi ya taarifa nyeti na muhimu zitatolewa muda wowote kuanzia sasa"

"Taarifa hizo zinakwenda kuhitimisha mchakato mzima wa maandalizi kuelekea mchezo huo. Wadau wanapaswa kusubiri kusikia taarifa hizo kuhusiana na mchezo huo"

"Tunaendelea kusisitiza maandalizi ya mchezo yanaendelea tukiamini timu husika nazo zinaendelea na maandalizi pamoja na wadau wengine wa mchezo pia," alisema Boimanda

Simba imeweka msimamo wa kutokubali mabadiliko yoyote ya tarehe ya mchezo huo huku Yanga ikisisitiza haiko tayari kucheza Juni 15 pasipo matakwa yao kufanyiwa kazi

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
1h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
2h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
3h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
5h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
19h ago
READ MORE β†’