Bodi ya ligi (TPLB) wakati wowote inatarajiwa kutoa taarifa muhimu kuhusu mchezo wa ligi kuu namba 184 kati ya Yanga dhidi ya Simba ambao umepangwa kupigwa Jumapili, Juni 15 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Msemaji wa Bodi ya ligi Karim Boimanda amesema maandalizi ya msingi kuelekea mchezo huo yanaendelea vizuriΒ
"Maandalizi yako vizuri lakini pia ni vizuri nikitoa taarifa..... download Xtra 90 App



