Dabi yasogezwa mbele, kupigwa Juni 25

Joel JJ By Joel JJ β€’ 13th June 2025

Dabi yasogezwa mbele, kupigwa Juni 25

Mchezo namba 184 ligi kuu ya NBC kati ya Yanga dhidi ya Simba ambao awali ulipangwa kupigwa Juni 15, umesogezwa mbele na sasa utapigwa Juni 25 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Mapema leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dk. Samia Suluhu Hassan alikutana na viongozi wa klabu za Yanga na Simba Ikulu ya Chamwino, Dodoma

More Stories

Ridhiwani Kikwete Ajiunga na Baraza la Wadhamini la Yanga
Ridhiwani Kikwete Ajiunga na Baraza la Wadhamini la Yanga
Today, READ MORE β†’
Yanga watangaza bajeti ya Bilioni 36 kwa msimu wa 2026/27.
Yanga watangaza bajeti ya Bilioni 36 kwa msimu wa 2026/27.
Today, READ MORE β†’
Rc. Chalamila atangaza kujiunga na wananchi katika mkutano mkuu wa Yanga.
Rc. Chalamila atangaza kujiunga na wananchi katika mkutano mkuu wa Yanga.
Today, READ MORE β†’
Coastal Union yatangaza rasmi Coastal Union Festival 2026
Coastal Union yatangaza rasmi Coastal Union Festival 2026
Today, READ MORE β†’
Yanga yamtambulisha namba 6 ni Fred Ngoma
Yanga yamtambulisha namba 6 ni Fred Ngoma
Today, READ MORE β†’
Danny Welbeck Atua Chelsea FC Rasmi, Asaini Mkataba wa Miaka Miwili
Danny Welbeck Atua Chelsea FC Rasmi, Asaini Mkataba wa Miaka Miwili
Today, READ MORE β†’
Simba yatambulisha jezi mpya 2026/27
Simba yatambulisha jezi mpya 2026/27
Yesterday, READ MORE β†’
Simba yaichapa Singida lakini timu zote zaaga mashindano
Simba yaichapa Singida lakini timu zote zaaga mashindano
Yesterday, READ MORE β†’
Polisi Tanzania yanasa wino wa Beno Kakolanya msimu ujao
Polisi Tanzania yanasa wino wa Beno Kakolanya msimu ujao
Yesterday, READ MORE β†’
TFF yatoa onyo kwa klabu zisizofanya usajili FIFA Connect
TFF yatoa onyo kwa klabu zisizofanya usajili FIFA Connect
Yesterday, READ MORE β†’