Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limethibitisha kujiuzulu kwa Mweenyekiti wa Bodi ya ligi Steven Mnguto
Taarifa iliyotolewa TFF jioni ya Ijumaa, imebainisha kuwa Mnguto amewasilisha barua ya kujiuzulu nafasi ya yake
Katika taarifa hiyo pia imethibitishwa kuwa Rais wa TFF Wallace Karia amemsimamisha kazi Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Almas Kasongo




