Uchaguzi Mkuu TFF kufanyika August 16 Tanga

Joel JJ By Joel JJ β€’ 14th June 2025

Uchaguzi Mkuu TFF kufanyika August 16 Tanga

Kamati ya uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imetangaza mchakato wa uchaguzi mkuu wa TFF utakaofanyika 16 August 2025 jijini Tanga

Katika uchaguzi huo nafasi zinazowaniwa ni Rais na Wajumbe 6 wa Kamati ya Utendaji

Gharama ya fomu ya Urais ni Tsh 500,000/- na mjumbe wa Kamati ya Utendaji ni Tsh 200,000/-

Fomu zitaanza kutolewa Jumatatu Juni 16 hadi Juni 20..... download Xtra 90 App

More Stories

Yanga yamtambulisha namba 6 ni Fred Ngoma
Yanga yamtambulisha namba 6 ni Fred Ngoma
Today, READ MORE β†’
Danny Welbeck Atua Chelsea FC Rasmi, Asaini Mkataba wa Miaka Miwili
Danny Welbeck Atua Chelsea FC Rasmi, Asaini Mkataba wa Miaka Miwili
Today, READ MORE β†’
Simba yatambulisha jezi mpya 2026/27
Simba yatambulisha jezi mpya 2026/27
Today, READ MORE β†’
Simba yaichapa Singida lakini timu zote zaaga mashindano
Simba yaichapa Singida lakini timu zote zaaga mashindano
Yesterday, READ MORE β†’
Polisi Tanzania yanasa wino wa Beno Kakolanya msimu ujao
Polisi Tanzania yanasa wino wa Beno Kakolanya msimu ujao
Yesterday, READ MORE β†’
TFF yatoa onyo kwa klabu zisizofanya usajili FIFA Connect
TFF yatoa onyo kwa klabu zisizofanya usajili FIFA Connect
Yesterday, READ MORE β†’
Yanga Yaifunga Magereza Dar Es Salaam 7-2 Mechi ya Kirafiki
Yanga Yaifunga Magereza Dar Es Salaam 7-2 Mechi ya Kirafiki
Yesterday, READ MORE β†’
Fei Toto ajumuishwa kikosi cha Azam Fc pre-season Rwanda
Fei Toto ajumuishwa kikosi cha Azam Fc pre-season Rwanda
Yesterday, READ MORE β†’
Ngao ya Jamii 2026 Kupigwa Amaan Complex Zanzibar
Ngao ya Jamii 2026 Kupigwa Amaan Complex Zanzibar
Yesterday, READ MORE β†’
Barcelona wafunguliwa mashtaka ya kinidhamu na Atletico Madrid kumhusu Julian Alvarez.
Barcelona wafunguliwa mashtaka ya kinidhamu na Atletico Madrid kumhusu Julian Alvarez.
Yesterday, READ MORE β†’