Real Madrid inatumai kumsajili beki wa Liverpool Ibrahima Konate, 26, kwa uhamisho wa bila malipo msimu ujao, mkataba wa Mfaransa huyo utakapokamilika. (Marca - kwa Kihispania)
Arsenal inataka sana kuwamsajili mshambuliaji wa Sporting na Uswidi Viktor Gyokeres, 27, na mshambuliaji wa RB Leipzig na Slovenia Benjamin Sesko, 22, Lakini ina uwezo wa kumsajili mshambuliaji mmoja tu msimu huu..... download Xtra 90 App



