Mechi za raundi ya 29 NBC PL leo Jumatano

Joel JJ By Joel JJ β€’ 18th June 2025


Mechi za raundi ya 29 NBC PL leo Jumatano

Ili kuhakikisha hakuna upangaji wa matokeo ya namna yoyote, mechi za ligi kuu ya NBC raundi ya 29 na 30 zitapigwa saa 10 jioni

Mechi zote za raundi ya 29 zitapigwa leo Jumatano Juni 18 na raundi ya 30 zitapigwa Jumapili Juni 22 2025

Jumatano mabingwa watetezi Yanga watakuwa Mbeya kumenyana na Tanzania Prisons huku watani zao Simba wakiumana na KenGold mkoani Tabora

Wakati timu nyingine zitamaliza msimu Jumapili, Yanga na Simba zitahitimisha msimu siku ya Jumatano, Juni 25 dimba la Benjamin Mkapa kwa mchezo namba 184 kupigwa


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.