Klabu za soka za Al-Ahli, Al-Nassr na Al-Qadsiah ncjini Saudi Arabia zimeonyesha nia ya kumsajili mshambuliaji wa Tottenham Hotspur na Korea Kusini Son Heung-min, 32, na ziko tayari kulipa pauni milioni 34. (Sportsport).
Bayern Munich itaelekeza macho yake kwa winga wa Brighton na Japan Kaoru Mitoma, 28, na mshambuliaji wa Liverpool na Uholanzi Cody Gakpo, 26, ikiwa haitafanikiwa..... download Xtra 90 App



