Kiungo mshambuliaji wa Simba Jean Charles Ahoua ameandika rekodi mpya akiwa na Wekundu hao wa Msimbazi baada ya hapo jana kufunga bao na kutoa pasi ya goli wakati Simba ikiifumua KenGold mabao 5-0 katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora
Aidha ameendelea kuongoza mbio za ufungaji bora akifikisha mabao 16 huku pia idadi ya pasi zake zilizosababisha..... download Xtra 90 App



