Local,Normal News,Yanga

Yanga yapata pigo, Dube aumia

Joel JJ By Joel JJ
β€’
19 Jun 2025
Yanga yapata pigo, Dube aumia

Mshambuliaji wa Yanga Prince Dube huenda akakosa mechi zilizosalia kuhitimisha msimu baada ya kupata majeraha katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons uliopigwa uwanja wa Sokoine mkoani Mbeya Yanga ikiibuka na ushindi wa mabao 5-0

Dube aliyekuwa aliyeifungia Yanga mabao 13 na kutoa pasi 8 za mabao msimu, alitolewa kunako dakika ya 17 baada ya kupata majeraha ya kuchanika nyama za nyuma ya paja 'hamstring'

Dube huenda akawa nje ya dimba kwa kipindi cha hadi wiki tatu kutibu majeraha hayo na hivyo atakosa mechi zote zilizosalia

Yanga imebakiwa na mechi tatu mbili za ligi kuu na mmoja wa fainali ya kombe la CRDB utakaopigwa visiwani Zanzibaar, Juni 29

Ni wazi Yanga itamkosa Dube katika mchezo dhidi ya Simba utakaopigwa Jumapili, Juni 25 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
2h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
2h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
3h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
4h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
4h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
5h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
6h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
19h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
19h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
20h ago
READ MORE β†’