Mshambuliaji wa Yanga Prince Dube huenda akakosa mechi zilizosalia kuhitimisha msimu baada ya kupata majeraha katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons uliopigwa uwanja wa Sokoine mkoani Mbeya Yanga ikiibuka na ushindi wa mabao 5-0
Dube aliyekuwa aliyeifungia Yanga mabao 13 na kutoa pasi 8 za mabao msimu, alitolewa kunako dakika ya 17 baada ya kupata majeraha ya kuchanika nyama..... download Xtra 90 App



