Mpango wa Arsenal wa kumsajili winga wa Real Madrid, Rodrygo, 24, umekwama kutokana mchezaji huyo wa Brazil kutaka mshahara wa pauni milioni 10.2 kwa mwaka. (AS)
Mchezaji anayesakwa na Liverpool, Marc Guehi, 24, yuko tayari kumalizia mwaka wake wa mwisho wa mkataba na Crystal Palace ikiwa beki huyo wa kati hatapata ofa inayofaa kwa mustakabali wa soka lake, licha ya klabu ya Eagles kutaka..... download Xtra 90 App



