Local,Normal News,Yanga, Simba

Simba yakacha mkutano dabi ya Kariakoo

Joel JJ By Joel JJ
β€’
24 Jun 2025
Simba yakacha mkutano dabi ya Kariakoo

Wanasema dalili ya mvua ni mawingu ndivyo unavyoweza kusema baada ya uongozi wa Simba kugomea mkutano wa mechi unaohusu makocha na manahodha wa timu kuelekea mchezo wa ligi kuu kati ya Yanga dhidi ya Simba ambao umepangwa kupigwa kesho Jumatano, Juni 25 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Kocha wa Yanga pamoja na nahodha wa timu hiyo walifika katika Mkutano huo lakini sio kocha Fadlu Davids wala nahodha Mohammed Hussein aliyefika kuzungumza

Akifunga Mkutano huo, Afisa Habari wa Bodi ya Ligi Karim Boimanda alisema hakuna taarifa rasmi iliyotolewa na Simba kama watashiriki mkutano huo au la huku jitihada za kuwatafuta viongozi wa Simba zikigonga mwamba

"Licha ya jitihada tulizotumia ila mpaka kufikia muda huu baaada ya Mkutano wa Yanga na waandishi wa Habari. Klabu ya Simba mpaka kufikia muda huu bado hatuna majibu sahihi kama wanakuja au la. Tumejitahidi kuwatatuta lla hawajashika simu mpaka muda huu hivyo niwaambie ndugu zangu Mkutano wa Simba na waandishi wapo Habari haupo," alisema Boimanda

Tangu mabadiliko ya ratiba ya kusogeza mbele mchezo huo yalipotangazwa, Simba haijajihusisha na hatua zote za maandalizi

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
46m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’