Arsenal imeungana na Chelsea, Liverpool na Manchester United katika mbio za kumsajili mshambuliaji wa Eintracht Frankfurt mwenye umri wa miaka 23 Hugo Ekitike. (Sport Bild - kwa Kijerumani, usajili unahitajika)
Klabu za Borussia Dortmund, Bayer Leverkusen, Eintracht Frankfurt, RB Leipzig na Stuttgart nchini Ujerumani zinavutiwa na kiungo wa Manchester City na timu ya taifa England James..... download Xtra 90 App



