Mshambuliaji wa Aston Villa na England Ollie Watkins, 29, yuko kwenye orodha ya Manchester United ya wachezaji ambao wanaweza kusajiliwa kujaza pengo la mshambuliaji wa kimataifa wa Denmark Rasmus Hojlund, 22, akiamua kuondoka Old Trafford msimu huu. (Athletic - usajili unahitajika)
Bayern Munich imemjumuisha mshambuliaji wa Liverpool na Colombia Luis Diaz, 28, kwenye orodha yake ya..... download Xtra 90 App



