Local,Transfer News,Azam, Coastal, Simba

Azam Fc yaanza na Lawi

Joel JJ By Joel JJ
β€’
1 Jul 2025
Azam Fc yaanza na Lawi

Azam Fc imekamilisha usajili wa beki wa Coastal Union na timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' Lameck Lawi, imefahamika

Lawi ametua Azam Fc akiwa mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba kunako klabu ya Coastal Union

Azam Fc imezipiku klabu za Simba na Yanga katika usajili wa beki huyo mwenye umri wa miaka 20

Msimu uliopita Simba iliingia katika mgogoro na Coastal Union kwa ajili ya beki huyo ambaye hata hivyo mamlaka za soka baadae ziliumuidhinisha kuendelea kuitumikia Coastal Union baada ya Simba kubainika kukiuka makubaliano ya mauziano ya mchezaji huyo

Taarifa za ndani kutoka Azam zinaeleza lengo la kumsajili Lawi ambaye atakwenda kupambania namba na mabeki wa kigeni Yeison Fuentes kutoka Colombia na Yoro Diaby ni kuongeza nguvu kama mzawa.

Kwa beki mzawa anayecheza nafasi hiyo Azam ni Abdallah Kheri aliyekuwa anacheza Pamba kwa mkopo, ambapo uongozi utatathmini alichokifanya kama kinaweza kikaongeza nguvu au la

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
2h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
2h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
3h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
4h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
4h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
5h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
6h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
19h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
19h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
20h ago
READ MORE β†’