Jopo la Mawakili watano kutoka HAKI KWANZA ADVOCATE wamemuwekea pingamizi Rais anaemaliza muda wake Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia kugombea tena nafasi hiyo kwa awamu ya tatu
Mawakili hao wamewasilisha pingamizi Baraza la Michezo la Taifa (BMT) wakipinga kitendo cha Karia kuchukua 'endorsement' 46 kati ya 47. Endorsement moja ambayo haijamilikiwa ni ya klabu ya..... download Xtra 90 App



