Kiungo mshambuliaji kutoka Burkina Faso, Stephane Aziz Ki, ambaye alijiunga na klabu ya Wydad Casablanca mwezi uliopita akitokea Yanga SC ya Tanzania, sasa yuko njia panda baada ya kuonekana kutokuwa katika mipango ya kocha mpya wa klabu hiyo, Mohamed Benhachem.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Morocco, Benhachem hajamjumuisha Aziz Ki kwenye orodha ya wachezaji watano wa kigeni ambao..... download Xtra 90 App



