Newcastle imewasilisha ofa iliyoboreshwa ya pauni milioni 55 kwa winga wa Uswidi Anthony Elanga, 23, na iko mbioni kukubaliana na Nottingham Forest. (Mail)
Real Madrid na kocha Xabi Alonso wamefikia makubaliano ya kuuzwa kwa mshambuliaji wa Brazil Rodrygo, ambaye amekuwa akihusishwa na Arsenal, ikiwa ofa stahiki itatolewa kwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24. (Athletic - usajili..... download Xtra 90 App



