Klabu ya Kagera Sugar imetangaza kutokumuongezea mkataba aliyekuwa Mtendaji Mkuu Thabit Kandoro
Taarifa iliyotolewa na Kagera Sugar, imemtakia kila la kheri Kandoro ambaye anaondoka baada ya timu hiyo kushuka daraja
"Uongozi wa Kagera Sugar Football Club unapenda kuutarifu Umma, mashabiki wetu, wanamichezo, na wadau wote wa michezo kuwa klabu imefikia makubaliano rasmi ya..... download Xtra 90 App



