Klabu ya Simba SC imefanikiwa kufikia makubaliano ya kuongeza mkataba wa mwaka mmoja na Kocha Mkuu wao, Fadlu Davids, pamoja na benchi lake lote la ufundi. Hii ni baada ya mazungumzo yaliyofanyika kati ya Fadlu na Rais wa heshima wa klabu hiyo, Mohammed Dewji 'Mo', kukamilika kwa mafanikio mwishoni mwa msimu uliopita.
Fadlu, ambaye alijiunga na Simba msimu uliopita akiwa na timu yake ya..... download Xtra 90 App



