Tottenham, Newcastle na Napoli zote zinamfuatilia kiungo wa England Jack Grealish baada ya Manchester City kuweka bei ya pauni milioni 40 kwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 (Sun).
Newcastle United wanaendelea kuwa na matumaini ya kushinda mbio za kumsajili Marc Guehi, 24, huku klabu hiyo ikitaka kuimarisha kikosi chao kwa kumuongeza beki wa kati huyo wa England na Crystal Palace..... download Xtra 90 App



