Mabosi wa Dodoma Jiji FC wako katika mazungumzo ya kuipata saini ya aliyekuwa kocha wa Tabora United, Mkongomani Anicet Kiazayidi baada ya kuvutiwa na uwezo wake, wakiamini atatengeneza kikosi bora kitakacholeta ushindani mkubwa msimu ujao.
Taarifa za uhakika zinaeleza kocha Mkuu wa Dodoma Jiji, Mecky Maxime aliyejiunga na timu hiyo, Juni 19, 2024, akitokea Ihefu ambayo kwa sasa ni..... download Xtra 90 App



