Arsenal wako tayari kutoa mchezaji kama sehemu ya mpango wao wa kumsajili kiungo wa kati wa Crystal Palace, Eberechi Eze (27), na wanaonekana kuwazidi kete Tottenham Hotspur katika kumsaka mchezaji huyo wa Kiingereza. (Sun)
Brentford wanataka pauni milioni 65 kwa ajili ya mshambuliaji wao Bryan Mbeumo (25), baada ya kukataa ofa za pauni milioni 55 na milioni 62.5 kutoka Manchester United..... download Xtra 90 App



