Local,Transfer News,Yanga, Azam

Azam Fc na Chama ni suala la muda

Joel JJ By Joel JJ
β€’
11 Jul 2025
Azam Fc na Chama ni suala la muda

Kiungo Clatous Chama raia wa Zambia, yuko mbioni kujiunga na klabu ya Azam Fc, imefahamika

Chama alikuwa katika mazungumzo ya kuongeza mkataba na Yanga lakini inaelezwa mazungumzo hayo yemevunjika

Mkataba wake umemalizika, ni mchezaji huru, taarifa ya duru za usajili imethibitisha Chama kufanya mazungumzo na Azam Fc ambayo yamefikia mwafaka na nyota huyo huenda akaelekea Chamazi

Baada ya kupata mafanikio makubwa na klabu ya Simba, Chama amedumu Jangwani kwa msimu mmoja tu akifunga mabao sita na kutoa pasi nne za mabao katika ligi kuu

Chama anakwenda kuingia katika orodha ya wachezaji waliozitumikia timu kubwa tatu nchini yaani Yanga, Simba na Azam Fc

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
46m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’