Kiungo Clatous Chama raia wa Zambia, yuko mbioni kujiunga na klabu ya Azam Fc, imefahamika
Chama alikuwa katika mazungumzo ya kuongeza mkataba na Yanga lakini inaelezwa mazungumzo hayo yemevunjika
Mkataba wake umemalizika, ni mchezaji huru, taarifa ya duru za usajili imethibitisha Chama kufanya mazungumzo na Azam Fc ambayo yamefikia mwafaka na nyota huyo huenda akaelekea..... download Xtra 90 App



