Local,Transfer News,Simba

USM Alger yapiga hodi Msimbazi kumtaka Che Malone

Joel JJ By Joel JJ
β€’
11 Jul 2025
USM Alger yapiga hodi Msimbazi kumtaka Che Malone

Beki wa kati wa Simba Che Malone Fondoh anahusishwa na klabu ya USM Alger ya Algeria, imefahamika

Kwa mujibu wa mwanahabari maarufu wa Ghana Micky Junior, mazungumzo baina ya Che Malone na klabu hiyo yanaendelea

Che Malone amemaliza mkataba na Simba, mpaka sasa hakuna uhakika kama ataendelea kusalia Msimbazi msimu ujao

Aidha inaelezwa Simba iko kwenye mazungumzo na beki raia wa Ivory Coast Souleymane Coulibaly ambaye msimu uliopita aliitumikia Asec Mimosas

Β Coulibaly tayari yuko jijini Dar es salaam kukamilisha taratibu za usajili kujiunga na Wekundu hao wa Msimbazi

Kama Simba itakamilisha usajili huo ni wazi mpango wa kumbakisha Che Malone utafutika

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
2h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
2h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
3h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
4h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
4h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
5h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
5h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
19h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
19h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
20h ago
READ MORE β†’