Local,Transfer News,JKT, Simba

Simba yamalizana na beki JKT Tanzania

Joel JJ By Joel JJ
β€’
13 Jul 2025
Simba yamalizana na beki JKT Tanzania

Klabu ya Simba inatajwa kuwa katika hatua za mwisho kukamilisha usajili wa beki wa kati wa JKT Tanzania n timu ya Taifa, Wilson Nangu

Nangu mwenye umri wa miaka 23 anatua Msimbazi akiwa ni pendekezo la Kocha Fadlu Davids akichukua nafasi ya Hussein Kazi ambaye tayari Simba imethibitisha kuachana nae baada ya mkataba wake kumalizika

Licha ya kumudu kucheza kama beki wa kati, Nangu pia anaweza kutumika katika nafasi zote za ulinzi wa pembeni yaani kulia na kushoto

Hivyo ni beki kiraka ambaye anawez kutumika popote katika safu ya ulinzi ingawa eneo analomudu zaidi ni beki wa kati

Pamoja na kumnasa Nangu, Simba pia huenda ikamn'goa mlinda lango wa JKT Tanzania Yacoub Mohammed

More Stories

Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
4m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
33m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’