Klabu ya Simba inatajwa kuwa katika hatua za mwisho kukamilisha usajili wa beki wa kati wa JKT Tanzania n timu ya Taifa, Wilson Nangu
Nangu mwenye umri wa miaka 23 anatua Msimbazi akiwa ni pendekezo la Kocha Fadlu Davids akichukua nafasi ya Hussein Kazi ambaye tayari Simba imethibitisha kuachana nae baada ya mkataba wake kumalizika
Licha ya kumudu kucheza kama beki wa kati, Nangu..... download Xtra 90 App



