Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza maombi ya Leseni za Klabu msimu wa 2025/2026 kwa Ligi Kuu ya NBC, Championship, First League na Ligi Kuu ya Wanawake (TWPL) yamefunguliwa kwa njia ya mtandao (Online) kuanzia Julai 14, 2025.
Mwisho wa kuwasilisha maombi kupitia mtandao https://clop.cafonline.com itakuwa Agosti 15,..... download Xtra 90 App



