Timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania, maarufu kama Twiga Stars, imehitimisha safari yake katika michuano ya WAFCON 2024 baada ya kuondolewa rasmi kufuatia kipigo cha mabao 4-1 dhidi ya Ghana katika mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi uliochezwa nchini Morocco.
Katika mchezo huo wa mwisho wa kundi C, Twiga Stars ilikuwa na kazi moja t, kupata ushindi ili kujiweka hai kwenye mashindano,..... download Xtra 90 App



