Liverpool inatarajiwa kumenyana na Newcastle United katika kinyang'anyiro cha mshambuliaji wa Eintracht Frankfurt Mfaransa Hugo Ekitike, 23, baada ya kufahamishwa kuwa mshambuliaji wa Uswidi Alexander Isak, 25, hatahama klabu yake katika dirisha hili la usajili. (Sky Sports)
The Magpies inahisi kuvujishwa kwa ofa ya Liverpool ya pauni milioni 120 kulilenga kumtatiza Isak. (Telegraph -..... download Xtra 90 App



