Klabu ya FAR Rabat imemalizana na beki wake Henock Inonga 'Varane' baada ya msimu mmoja ndani ya timu hiyo.
Inonga aliyetambulishwa ndani ya FAR Rabat Julai 13, 2024, amesitishiwa mkataba, kutokana na ripoti ya kocha Mreno Alexander Santos.
Beki huyo wa zamani wa Simba, hakuwa na maisha mazuri ndani ya timu hiyo, akianza kwenye mechi tano pekee msimu huu, zikiwemo nne za Ligi na..... download Xtra 90 App



