Kiungo wa Yanga Khalid Aucho huenda asiwe sehemu ya kikosi cha mabingwa hao wa kihistoria msimu ujao baada ya majadiliano ya kuhuisha mkataba wake kutofikia mwafaka, imefahamika
Yanga ilikuwa tayari kumpa Aucho mkataba wa mwaka mmoja lakini kiungo huyo hayuko tayari kuongeza mwaka mmoja, akihitaji mkataba wa miaka miwili
Mtu wa karibu wa Aucho ambaye ni mwanahabari, amesema Aucho..... download Xtra 90 App



