Galatasaray wametoa ofa ya euro 3m (Β£2.6m) kwa mlinda mlango wa Manchester City na Brazil Ederson, 31. (L'Equipe - in French)
Manchester City wanafikiria kumnunua mlinda mlango Muingereza James Trafford, 22, arejee klabuni kutoka Burnley , lakini iwapo tu mmoja wa makipa wao wawili wakuu ataondoka. (Fabrizio Romano)
Kiungo wa kati wa Uholanzi na RB Leipzig Xavi Simons, 22,..... download Xtra 90 App



