International,Transfer News,

Tetesi za usajili Ulaya, Jumamosi Julai 19 2025

Joel JJ By Joel JJ
β€’
19 Jul 2025
Tetesi za usajili Ulaya, Jumamosi Julai 19 2025

Galatasaray wametoa ofa ya euro 3m (Β£2.6m) kwa mlinda mlango wa Manchester City na Brazil Ederson, 31. (L'Equipe - in French)

Manchester City wanafikiria kumnunua mlinda mlango Muingereza James Trafford, 22, arejee klabuni kutoka Burnley , lakini iwapo tu mmoja wa makipa wao wawili wakuu ataondoka. (Fabrizio Romano)

Kiungo wa kati wa Uholanzi na RB Leipzig Xavi Simons, 22, anapendelea kuhamia Ligi ya Primia, huku Chelsea na Arsenal wakifuatilia hali yake. (Bild -in Germany)

Barcelona, AC Milan, Al Hilal na Al Nassr wanavutiwa na mshambuliaji wa Liverpool na Uruguay Darwin Nunez, 26 . (Caughtoffside)

Winga wa Colombia na Liverpool Luis Diaz, 28, ameiambia klabu yake kwamba anataka kujiunga na Bayern Munich . Liverpool walikataa kuhusishwa mapema wiki hii. (Florian Plettenburg)

Jose Mourinho ana nia ya kumsajili mshambuliaji wa Manchester United na Muingereza Marcus Rashford, 27, kwa Fenerbahce. (T24 - in Turkish)

Sunderland wamekubali ada ya Β£17.5m na Sassuolo kwa winga wa Ufaransa Armand Lauriente, 25, 25. (Sky Sports)

Kiungo mshambuliaji wa Uingereza Ethan Nwaneri, 18, amekubali mkataba mpya wa miaka mitano na Arsenal . (Telegraph - subscription required)

Tottenham imefanya uchunguzi kumnunua beki wa Bournemouth na Ukraine Ilya Zabarnyi, 22 . (TalkSport)

Juventus wanafikiria kubadilishana mkataba wa mshambuliaji wa Manchester United na Denmark Rasmus Hojlund, 22, ili kubadilishana na kiungo wao wa kati wa Brazil Douglas Luiz, 27. (Tuttosport - in Italian)

Ipswich wanatarajia ofa iliyoboreshwa kutoka kwa Brentford kwa mshambuliaji Mwingereza Omari Hutchinson, 21. (Sky Sports)

Norwich wanakaribia kumuuza mshambuliaji wa Marekani Josh Sargent, 25, kwa Wolfsburg kwa Β£21m. (Sky Sports)

BBC

More Stories

Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
4m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
33m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’