Klabu ya Simba imempa mkataba kiungo mshambuliaji Morice Abraham aliyekuwa akifanya majaribio kwa miezi kadhaa
Morice aliyerejea nchini mapema mwaka huu akitokea Serbia baada ya kuachana na FK Spartak ya nchini humo, alijumuishwa katika kikosi cha Simba kama sehemu yake ya majaribio
Inaelezwa Kocha Mkuu wa Simba Fadlu Davids amependekeza kusajiliwa kwa mchezaji huyo ambaye kwa..... download Xtra 90 App



