Local,Normal News,Yanga, Simba, Azam, Fountain Gate, Singida BS

Stars yarejea Dar baada ya kumaliza kambi Misri

Joel JJ By Joel JJ
19 Jul 2025
Stars yarejea Dar baada ya kumaliza kambi Misri

Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kimemaliza kambi yake nchini Misri waliyokaa kwa siku 10 na kimerejea Tanzania leo

Kikosi hicho kabla ya kucheza mchezo wa ufunguzi wa CHAN dhidi ya Burkinafaso kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, itacheza mechi tatu za kirafiki kwenye uwanja wa Black Rhino, Karatu

Stars itacheza dhidi ya Senegal, Kenya na Uganda katika mashindano madogo ya CECAFA yaliyoandaliwa na Shirikisho hilo kwaajili ya kuziweka sawa timu hizo kwenye mashindano ya CHAN

Tanzania itafungua michuano hiyo August 02 katika mchezo wa ufunguzi dhidi ya Burkina Faso ambao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Kabla ya mchezo huo, kutafanyika shamrashamra za ufunguzi wa michuano hiyo katika uwanja wa Benjamin Mkapa

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
6m ago
READ MORE →
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
35m ago
READ MORE →
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE →
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE →
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE →
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE →
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE →
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE →
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE →
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE →