hatua ya winga wa manchester United na Uingereza Jadon Sancho kutaka kujiunga na klabu ya Juventus kunakaribia kukamilika huku vilabu hivyo viwili vikiwa vimekamilisha baadhi ya maelezo kuhusu uhamisho wa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25. (Tuttosport - In Italy)
Juventus wako tayari kukubaliana na Manchester United kwa dau la euro 25m (Β£21.6m) kumnunua Sancho, ambaye yuko katika..... download Xtra 90 App



