Uongozi wa Singida Black Stars umefikia makubaliano ya kuachana na kiraka, Edward Charles Manyama baada ya kuitumikia kwa msimu mmoja.
Manyama alijiunga na Singida BS msimu uliomalizika kwa mkataba wa miaka miwili akiwa mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake na Azam FC.
Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya Singida Black Stars kimethibitisha kuwa uongozi wa timu umefikia..... download Xtra 90 App



