Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' imeanza vyema mashindano maalumu ya CECAFA ya kujiandaa na Michuano ya CHAN 2024 baada ya kuichapa Uganda kwa bao 1-0
Huu ulikuwa mchezo maalumu wa maandalizi ya michuano ya Kombe la Mataifa Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN) ambao umepigwa kwenye Uwanja wa Black Rhino Karatu Mkoani Arusha.
Awali mashindano hayo yalikuwa yanashirikisha timu..... download Xtra 90 App



