Winga wa Real Madrid na Brazil Rodrygo, 24, ni mmoja wa nyota wa kumrithi Luis Diaz huko Liverpool iwapo winga huyo wa Colombia mwenye umri wa miaka 28 ataondoka Anfield (Florian Plettenberg).
Mshambuliaji wa Sweden Alexander Isak, 25, anataka pauni 300,000 kwa wiki kusaini mkataba mpya Newcastle (Talksport).
Granit Xhaka amekubaliana masharti na Sunderland, huku klabu hiyo sasa..... download Xtra 90 App



