Klabu ya Yanga imethibitisha kuachana na wachezaji watano ambapo miongoni mwao wamemaliza mikataba
Katika orodha hiyo yumo kiungo Khalid Aucho aliyewatumikia Wananchi kwa misimu minne
Aucho anaondoka Yanga huku bado ni kipenzi cha mashabiki kutokana na kazi nzuri aliyofanya katika misimu minne
Ameshinda mataji manne ya ligi kuu, mataji manne ya kombe la FA, mataji matatu ya..... download Xtra 90 App



