Local,Transfer News,Yanga

Aucho, Chama rasmi waachwa Yanga

Joel JJ By Joel JJ
β€’
24 Jul 2025
Aucho, Chama rasmi waachwa Yanga

Klabu ya Yanga imethibitisha kuachana na wachezaji watano ambapo miongoni mwao wamemaliza mikataba

Katika orodha hiyo yumo kiungo Khalid Aucho aliyewatumikia Wananchi kwa misimu minne

Aucho anaondoka Yanga huku bado ni kipenzi cha mashabiki kutokana na kazi nzuri aliyofanya katika misimu minne

Ameshinda mataji manne ya ligi kuu, mataji manne ya kombe la FA, mataji matatu ya Ngao ya Jamii na pia akiisaidia Yanga kufanya vyema katika michuano ya Kimataifa

Katika orodha hiyo pia yumo kiungo Clatous Chama aliyeitumikia Yanga kwa msimu mmoja akitokea klabu ya Simba

Kiungo Jonas Mkude nae amepewa Thank You baada ya mkataba wake kumalizika kama ilivyo kwa Kennedy Musonda aliyetimkia Israel

Stephane Aziz Ki yeye amejiunga na klabu ya Wydad Athletic, Yanga ikifanya biashara

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
2h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
2h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
3h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
4h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
4h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
5h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
6h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
19h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
19h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
20h ago
READ MORE β†’