Dodoma Jiji yaachana na kocha Mexime

Joel JJ By Joel JJ β€’ 28th July 2025


Dodoma Jiji yaachana na kocha Mexime

Klabu ya Dodoma Jiji imethibitisha kufikia makubaliano ya pande mbili kuachana na aliyekuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mecky Mexime

Aidha taarifa iliyotolewa na klabu hiyo mapema leo, wamethibitisha kulivunja benchi lote la ufundi


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.