Baada ya majadiliano ya ndani na tathmini ya kina, hatimaye klabu ya Simba imechagua Misri kuwa ngome ya maandalizi ya msimu ujao wa mashindano 2025-2026 ikiwa ni mkakati wa kujenga kikosi madhubuti kitakachopambana kwa ajili mataji ndani na nje ya nchi, huku siri ya kutimkia huko ikitajwa.
Kwa mujibu wa taarifa rasmi kutoka klabu hiyo yenye maskani yake Mtaa wa Msimbazi, kikosi..... download Xtra 90 App



