Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa klabu ya Azam FC, Thabit Zacharia maarufu kama Zakazakazi, amefunguka kuhusu sababu zinazowazuia kumuuza kiungo mshambuliaji Feisal Salum Fei Toto kwa klabu ya Simba SC.
Kupitia mahojiano aliyofanya na redio moja maarufu jijini Dar es salaam, Zakazakazi alisema wazi kuwa Azam FC haiwezi kumuuza mchezaji huyo kwa Simba kutokana na..... download Xtra 90 App



