Klabu ya Yanga imethibitisha beki wa kulia Israel Mwenda ameongeza mkataba wa kuwatumikia mabingwa hao wa soka Tanzania Bara
Mwenda alitua Yanga mwezi Januari 2025 kwa mkopo wa miezi sita aitokea klabu ya Singiida Black Stars
Baada ya kuonyesha kiwango kizuri, mabosi wa Yanga wameridhishwa nae na hivyo kumsajili moja kwa moja akisaini mkataba wa miaka mitatu





